Siku ya Uhuru nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo30.06.200830 Juni 2008Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imeadhimisha hii leo miaka 48 tangu ipate uhuru kutoka kwa mkoloni wake Ubelgiji.https://p.dw.com/p/ETbCRais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: APMatangazo Akihutubia taifa raïs Joseph Kabila ameahidi kudumisha amani na kupambana na kutotolewa adhabu nchini mwake. Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.