1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya wakimbizi duniani

20 Juni 2007

Katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, makundi ya wapiganaji yanaripotiwa kuchangia katika hali ngumu ya wakimbizi pamoja na wahamiaji vita nchini humo.

https://p.dw.com/p/CB3T
Hali ya wakimbizi na ngumu
Hali ya wakimbizi na ngumuPicha: AP

Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo vimesababisha idadi kubwa ya wakimbizi.

Akihitimisha ziara yake ya Kongo, naibu kamishna wa shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, Bibi Judy Hopkins, amesema Umoja wa Mataifa unapaswa kuhamasishwa zaidi kuhusu hali ya wakimbizi na wahamiaji vita nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Kongo imepata serikali mpya mwaka jana na rais Joseph Kabila kunyakua ushindi.