1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Somalia yapata rais mpya

9 Februari 2017

Bunge la Uingereza limeidhinisha kwa wingi mkubwa wa kura muswada wa kile kinachofahamika kama Brexit na mahakama moja nchini Kenya imeitaja amri ya serikali kuifunga kambi kubwa kabisa ya wakimbizi ya Dadaab kuwa si ya kisheria.

https://p.dw.com/p/2XGe4