1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Somalia

Oumilkher Hamidou4 Januari 2009

Waandishi habari wawili wa kigeni waachiwa huru Puntland

https://p.dw.com/p/GRiQ



Waandishi habari wawili wa kigeni,mmoja wa kiengereza na mwengine mpiga picha wa kutoka Hispania,waliotekwa nyara November 26 mwaka jana,katika eneo la kaskazini mwa Somalia, lililojitangazia utawala wa ndani-Puntland,wameachiwa huru hii leo.Habari hizo zimetangazwa na afisa wa ngazi ya juu wa polisi huko Puntland.