Manchester United inaweza kupanda kileleni mwa ligi kuu ya Uingereza ikiishinda leo timu inayoburura mkia Blackburn Rovers,katika wakati ambapo Tottenham inafunga safari hadi Swansea
Miili ya watu wasiopungua 13 imeopolewa kutoka maeneo tofauti ya mji mkuu wa Kenya kufuatia mafuriko+++Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema kuwa vikosi vya jeshi nchini Burkina Faso vimewaua raia 223
Hali ya hewa ya El Nino inasababisha hali mbaya ya hewa kwenye mataifa ya Afrika Mashariki+++Wakati mafuriko yakishuhudiwa katika baadhi ya nchi, wachuuzi wa mitaani katika mji mkuu wa Mali wa Bamako wanauza mifuko ya maji
Misumari na nyundo kwa Dina zimekuwa nyenzo muhimu katika kusimulia hadithi zilizojaa changamoto, uzuri na upekee wa bara la Afrika, hasa taifa la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambako anatokea. Sanaa ya kipekee inayosimulia hadithi kwa namna ya kipekee.