1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

STUTTGART: Timu ya Stuttgart yanyakua ubingwa Ligi ya Ujerumani

20 Mei 2007
https://p.dw.com/p/CC0Q

Bingwa mpya wa kandanda katika Ligi ya Ujerumani ni timu ya Stuttgart iliyoikandika Energie Cottbus mabao 2-1 katika mchezo wa kusisimua siku ya Jumamosi.Schalke,iliyopigania ubingwa huo mpaka dakika ya mwisho imeshika nafasi ya pili baada ya kuifunga Bielefeld pia kwa mabao 2-1.