1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taa mpya kwa Uganda

9 Februari 2007

Serikali ya Uganda itaanzsiha mpangp wa kutoa bure kwa wananchi taa zinazotumia umeme mdogo au balbu zinazojulikana kama energy saver, ili kupunguza uhaba wa umeme nchini humo.

https://p.dw.com/p/CHle
Vipi kupambana na uhaba wa umeme?
Vipi kupambana na uhaba wa umeme?Picha: AP
Kwa mengi zaidi, sikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala, Omar Mutasa.