1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi:09.10.2022

9 Oktoba 2022

Watu 3 wauawa katika mlipuko wa daraja la Crimea. Korea Kaskazini yafanya majaribio zaidi ya makombora. Wapalestina wawili wauawa katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa.

https://p.dw.com/p/4Hwcf