1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi: 12.12.2017

Zainab Aziz
12 Desemba 2017

Nchi 25 za Umoja wa Ulaya zimezindua rasmi mpango wa ulinzi wa pamoja. Watu kadhaa wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi jijini New York. Ujerumani yalaani kuchomwa moto bendera ya Israel mjini Berlin, waziri wa mambo nje na mwenziwe wa mambo ya ndani wamesema vitendo kama hivyo havitavumiliwa.

https://p.dw.com/p/2pBJL