1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Godbless Lema wa chama cha Chadema avuliwa Ubunge

5 Aprili 2012

Godbless Lema, mwanachama wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania sio mbunge tena. Asubuhi ya leo, Jaji Gabriel Rwakibarila ametoa hukumu na kumvua ubunge wa Jimbo la Arusha mjini.

https://p.dw.com/p/14Y7P
Mji wa Arusha alikovuliwa ubunge Godbless Lema
Mji wa Arusha alikovuliwa ubunge Godbless LemaPicha: dpa - Bildarchiv

Awali Pendo Paul amezungumza na mwandishi wetu Nicodemus Ikonko aliyekuwepo katika mahakama hiyo mjini Arsuha, na anaanza kwa kueleza sababu zilizochangia kufikia uamuzi huo.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Pendo Paul

Mhariri: Saumu Yusuf