1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania kumkaribisha Rais wa FIFA Infantino

Bruce Amani
19 Februari 2018

Tanzania itaingia katika madaftari ya historia wiki hii, wakati itakapokuwa mwenyeji wa mkutano wa kihistoria wa shirikisho la kandanda duniani FIFA

https://p.dw.com/p/2svjA
FIFA - Gianni Infantino
Picha: picture-alliance/dpaE. Leanza

Mkutano huo wa kilele utakaoongozwa na Rais wa FIFA Giani Infantino ukiwa na kauli mbiu ya ‘Kurejesha Kandanda kwa FIFA na FIFA kwa kandanda' unalenga kuimarisha mahusiano kati ya FIFA na mashirikisho yake. Bruce Amani amezungumza na Rais wa TFF Wallace Karia