1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Magufuli ziarani Kigoma

21 Julai 2017

Magufuli ametoa onyo kali kwa mashirika yanayohudumia wakimbizi mkoani Kigoma kuacha tabia ya kuingia Burundi na kuwashawishi warundi kuikimbia nchi yao kwa ahadi ya kuwagawia pesa.

https://p.dw.com/p/2gzLh
Tansania John Magufuli
Picha: Getty Images/AFP/D. Hayduk

RAIS MAGUFULI AONYA MASHIRIKA YA WAKIMBIZI- J1 July 22- Prosper Kwigize - MP3-Stereo