1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mahakama yaahirisha swala la mbunge Hamad Rashid wa CUF

19 Januari 2012

Mahakama Kuu nchini Tanzania imetoa muda zaidi kwa chama cha upinzani nchini Tanzania, CUF, kuzipitia hoja za waliowafukuza kutoka chama chao, akiwemo Mbunge wa Wawi, kisiwani Pemba, Hamad Rashid.

https://p.dw.com/p/13mHX
Fahne der Oppositionspartei Civic United Front (CUF) Stichwort: Tansania, Opposition, CUF, Civic United Front, Tanzania
Bendera ya chama cha upinzani cha CUFPicha: Mohammed Khelef

Shauri hili lilipangwa kusikilizwa leo, na sasa linatarajiwa kusikilizwa Machi 17. Hamad Rashid, kama mtuhumu, alikuwepo mahakamani na nilizungumza nae baada ya Jaji Agostino Shango wa mahakama hiyo kuliahirisha shauri hilo.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Miraji Othman