1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Matokeo mapya ya kidato cha nne

31 Mei 2013

Serikali ya Tanzania imetangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mara ya pili baada ya kuyafuta matokeo ya awali ambapo sasa asilimia ya waliofaulu imepanda kuwa 43.08 ikilinganishwa na ya awali ambayo ni asilimia 34.5.

https://p.dw.com/p/18hgV
Wanafunzi wakiwa darasani nchini Tanzania
Wanafunzi wakiwa darasani nchini TanzaniaPicha: Christine Harjes

Hatua hiyo inatokana na iliyoundwa na serikali ya kutaka kutumia mbinu ya awali ya usahihishaji badala ya iliyotumika kusahihisha matuko hayo ya awali kusema haikufanyiwa utafiti wa kina na maandalizi ya kutosha na hivyo kusababisha idadi kubwa ya wanafanuzi kutofaulu. Sudi Mnette amezungumza na Godfrey Boniventura ambae ni Meneja Programu wa Idara ya Utafiti na Uchambuzi wa Sera wa katika asasi ya Haki Elimu.

Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.