1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mgomo wa madaktari wazuka tena

25 Juni 2012

Huduma za afya katika baadhi ya hospitali nchini Tanzania zimeanza kuzorota kufuatia mgomo ulioanzishwa na madaktari wanaoitaka serikali kuboresha mazingira ya kazi.

https://p.dw.com/p/15Krx
Huduma zimezorota kutokana na mgomo wa madaktari
Huduma zimezorota kutokana na mgomo wa madaktariPicha: Picture-Alliance/dpa

Hii ni mara ya pili kwa madaktari hao kugoma baada ya kufanya hivyo mwanzoni mwa mwaka huu. Kutoka Daressalaam, George Njogopa anaarifu zaidi.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: George Njogopa

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi