1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mitandao ya kijamii na uhamasishaji

Mohammed Khelef10 Novemba 2016

Katika mji wa kitalii wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania, vijana wanaotokea asasi za kijamii na za kibiashara zinazoyalenga makundi maalum ya kijamii, mitandao ya kijamii imekuwa kila kitu kuhusu maisha yao

https://p.dw.com/p/2SSbV