1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mkutano wa mashirika ya kidini na Taasisi za kiraia wafanyika jijini Dar es Salaam

24 Novemba 2009

Mashirika ya kidini na taasisi za kiraia nchini Tanzania wameanza kukutana jijini Dar es Salaam kujadili njia bora zitakazosadia kuimarisha utawala bora na kuepuka migongano isiyokuwa ya lazima na mamlaka za serikali.

https://p.dw.com/p/KeOp
Jiji la Dar Es Salaam kunakofanyika mkutano wa Mashirika ya Kidini na taasisi za kiraia unaofadhiliwa na Wakfu wa Konrad AdenauerPicha: DW /Maya Dreyer

Mkutano huo wa siku tatu unaofadhiliwa na wakfu wa kijerumani wa Konrad Adenauer pia unawajumuisha wasomi kutoka fani za kisiasa na utawala.Mwandishi wetu John Njogopa na ripoti kamili.

Mtayarishaji:John Njogopa

Mpitiaji:Jane Nyingi