1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Mwanafilamu maarufu Steven Kanumba azikwa leo

10 Aprili 2012

Mwanafilamu maarufu nchini Tanzania, na Afrika kwa Ujumla Stephen Kanumba anazikwa leo (10.04.2012) mjini Dar es Salaam Tanzania, baada ya kufariki dunia mwishoni mwa juma lililopita nyumbani kwake Kinondoni.

https://p.dw.com/p/14aD2

Muda huu, watu mbalimbali wanauaga mwili wake katika mazishi ya kitaifa katika viwanja vya Leaders Club, ambapo mwandishi wetu Aboubakar Liongo anahudhuria pia.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Pendo Paul

Mhariri: Mohamed Abdulrahman