1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania na mfumo mpya wa elimu

Mohamed Abdul-Rahman19 Machi 2015

Serikali ya Tanzania imezindua mfumo mpya wa elimu ambao unazingatia Kiswahili kama lugha rasmi ya kufundishia katika kile inachosema ni kutoa nafasi kwa wanafunzi kujifunza kwa lugha yao wenyewe.

https://p.dw.com/p/1Et4B
Wanafunzi katika Skuli ya Wasichana ya Tabora, Tanzania.
Wanafunzi katika Skuli ya Wasichana ya Tabora, Tanzania.Picha: Zuberi Mussa

Kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara, Mohamed Abdulrahman anaendesha mjadala juu ya umuhimu na athari za uamuzi huu wa Tanzania, wa kwanza wa aina yake kuchukuliwa na nchi za Afrika Mashariki na Kati kutumia lugha ya wenyeji kuwa lugha kuu ya kitaaluma pia.

Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.