1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Tatizo la dawa bandia za tiba ya kifua kikuu

8 Februari 2013

Utafiti wa hivi karibuni wa wachunguzi wa Marekani umeonesha Afrika, India na mataifa mengine yanayoendelea duniani yamegubikwa na tatizo la dawa bandia au zilizo chini ya kiwango za tiba ya kifua kikuu.

https://p.dw.com/p/17ah2
Dawa bandia za tiba ya kifua kikuu zilizopo nchini Tanzania
Dawa bandia za tiba ya kifua kikuu zilizopo nchini TanzaniaPicha: picture-alliance

Uchunguzi huu umefanywa katika miji 19 na nchi 17 zikiwemo Kenya, Uganda,Rwanda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Zambia na Tanzania. Kutoka huko Tanzania Sudi Mnette amezungumza na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dokta Hussein Mwinyi na kwanza alimuuliza hali ikoje Tanzania. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman