1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Tume ya kukusanya maoni ya Katiba mpya imeapishwa

13 Aprili 2012

Hatimaye tume maalumu kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi wa Tanzania juu ya katiba mpya imeapishwa leo na rais jakaya Kikwete.

https://p.dw.com/p/14dRu
Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho KikwetePicha: AP Photo

Kuapishwa kwa wajumbe wa tume hiyo ilioteuliwa sasa kunafungua safari mpya kwa taifa hilo kuelekea kwenye katiba mpya.

Kutoka Dar es salaam, mwandishi wetu George Njogopa na taarifa zaidi.

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: George Njogopa

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi