1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Tundu Lissu akamatwa tena

22 Agosti 2017

Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lisu ambaye ni mkosoaji wa serikali ya Tanzania, ametiwa mbaroni baada ya kumaliza shuguhuli zake za kimahakama jijini Dar es Salaam. Lissu amewahi kukamatwa mara kadhaa.

https://p.dw.com/p/2ieg8
Tansania - Tundu Lissu
Picha: DW

M M T/ J3.22.08.2017-Dar Tundu Lissu arrested - MP3-Stereo

Lissu hivi karibuni aliibua sakata la kile alichodai kukamatwa kwa ndege ya Tanzana nchini Canada, kunakotakana na makosa ya kuvunja mkataba kiholela, ambako kumeligharimu taifa hilo takribani shilingi bilioni 87, sawa na dola milioni 38.7 za Kimarekani. DW imezungumza na wakili wake Peter Kibatala na kwanza anaelezea mazingira ya kukamatwa Tundu Lissu.