1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Uamuzi juu ya TBC wazua vurugu bungeni

Elizabeth Shoo27 Januari 2016

Upande wa upinzani nchini Tanzania umekataa tamko la serikali la kujaidili hotuba ya rais wa taifa hilo pasipo kuoneshwa matangazo moja kwa moja kupitia televisheni ya taifa TBC.

https://p.dw.com/p/1Hko5
Bunge Tanzania. DW/Hawa Bihoga
Picha: DW/H. Bihoga

[No title]

Serikali kupitia waziri wake wa habari, utamaduni na michezo Nape Nnauye ilisema shirika hilo halina pesa ya kurusha matangazo hayo ya moja kwa moja jambo lililzusha tafrani kama anavyosimulia Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima Ibrahim Yamar aliyeko katika viwanja vya mikutano hiyo ya bunge.

Kusikiliza mahojiano kati ya Ibrahim Yamar na Sudi Mnette bonyeza alama ya spika za masikioni