1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yataifisha madini ya almasi ya Dola Milioni 32.8

Lilian Mtono
11 Septemba 2017

Tanzania yataifisha madini ya almasi ya Dola Milioni 32.8, Kimbunga Irma chaipiga Florida na kusababisha vifo na uharibifu na Wapiganaji wa Al-Shabaab waukamata mji wa Badal Hawo ulio karibu na Kenya. Papo kwa Papo: 11.09.2017

https://p.dw.com/p/2jjHJ