1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yazindua kampeni ya kulinda watoto mtandaoni

Sylvia Mwehozi
20 Februari 2024

Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya usalama mtandaoni, imezindua kampeni ya kitaifa ya ushauri kuhusu ulinzi na usalama wa mtoto mtandaoni. Sikiliza kwa kina juu ya kampeni hiyo katika makala ya Sema Uvume iliyoandaliwa na Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/4ccSg