1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania:Wakimbizi waliokimbilia Somalia watarajiwa kurudi visiwani Zanzibar

5 Julai 2012

Kiasi ya wakimbizi 38 wanaoishi Somalia miongoni mwa wale wakimbizi 2000 walikimbia kisiwani Pemba baada ya vurugu za kisiasa za Januari 2001 wanatarajiwa kuwasili kesho (06.07.2012) visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/15RWu
Kambi ya wakimbizi Somalia
Kambi ya wakimbizi SomaliaPicha: DW/Schadomsky

Hali inatokana na ugumu maisha nchini Somalia unachangiwa zaidi na mapigano yanayoendelea katika taifa hilo. Sudi Mnette amezungumza na Austin Makani ambae ni msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR nchini Tanzania, na kwanza alimuuliza hatua iliyofikiwa na juhudi za nani?

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohamed Abdulrahman