1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tatizo la mimba na ndoa za mapema

12 Julai 2015

Ni jinamizi linalowakabili wasichana wengi wadogo katika maeneo mbalimba ya bara zima la Afrika. Kunapokesekana mtu wa kuwasaidia, wanakuwa hawana la kufanya. Wanakosa kwa kukimbilia.

https://p.dw.com/p/1Fwcn
Schüler in Shinyanga Tansania
Kutoka kushoto: Adelaeda Elias, Pili Omary, Lekadia Reuban na Rosalia TadeiPicha: DW/V. Natalis

Ungana na Veronica Natalis akiongoza kipindi cha Vijana Tugutuke usikie wasichana wadogo wakielezea masaibu waliyokumbana nayo na jinsi wanavyojitahidi kuwahamasisha wengine kujiepusha na mimba na ndoa za mapema.

Kukisiliza kipindi bonyeza alama na masikioni hapo chini.

Mwandishi:Veronica Natalis

Mhariri:Josephat Charo