1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Teknolojia ya kuodoa uvimbe mwilini bila upasuaji

19 Februari 2024

Kurunzi Afya: Inakufahamisha mengi juu ya teknolojia ya kuyeyusha uvimbe mwilini bila kufanyiwa upasuaji. Utaalamu huu unaweza kutolewa kwa watu ambao wana uvimbe katika sehemu mbalimbali za mwili, ikiwemo tezi dume, uvimbe katika ini na hata uvimbe katika mirija ya uzazi kwa wanawake.

https://p.dw.com/p/4caBA