1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump na Cruz warushiana madongo Twitter

Elizabeth Shoo30 Machi 2016

Wagombea wakuu wa chama cha Republican mbali na kushambuliana wao kwa wao, sasa wameamua kushambulia wake wa wapinzani. Heidi Cruz na Melania Trump wamejikuta kwenye mgogoro. Yote hayo katika Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/1IMKe
Donald Trump na Ted Cruz
Picha: Reuters/J. Young

[No title]