1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tume ya ukweli na maridhiano nchini kenya yaanza vikao katika mkoa wa Pwani

25 Januari 2010

Nchini Kenya tume ya ukweli na maridhiano iliyoteuliwa kuchunguza ghasia za baada ya uchaguzi inaanza vikao vyake hii leo katika mkoa wa Pwani.

https://p.dw.com/p/LgVv
Ghasia zilizotokea nchini Kenya baada ya uchaguzi wa mwaka 2007Picha: AP

Tume hii inatarajiwa kusafiri pembe zote za jamhuri ya Kenya katika kukusanya maoni na kupendekeza njia muafak za kuleta maridhiano na kuepusha hali kama hiyo siku zijazo.

Lakini kama anavyotueleza mwandishi wetu Eric Ponda kutoka mjini Mombasa,si wakenya wengi walio na imani na tume hii.

Mwandishi:Eric Ponda

Imepitiwa na: Hamidou Oummilkheir