1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tundu Lissu azungumza kwa kina na DW

Sylvia Mwehozi
12 Desemba 2017

Mbunge wa Singida Mashariki mh. Tundu Lissu ambaye anaendelea kupata matibabu nchini Kenya, amefanya mazungumzo na mwandishi wetu Dotto Bulendu aliyemtembelea hospitalini jijini Nairobi. Kuhusu afya yake, kisa cha yeye kupigwa risasi na ikiwa tukio hilo limedhoofisha dhamira yake ya ukosoaji wa serikali. Yote ni katika makala hii ya Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/2pBuk