1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tuzo ya Mo-Ibrahim

19 Oktoba 2009

<p>Taasisi ya Mo Ibrahim imeshindwa kumpata mshindi wa tuzo ya mwaka 2009

https://p.dw.com/p/KAdJ
Mo Ibrahim, Mwasisi wa Taasisi ya Mo IbrahimPicha: picture-alliance/ dpa
Taasisi ya Mo Ibrahim imeshindwa kumpata mshindi wa tuzo ambayo huwatunza viongozi bora wa Afrika waliomaliza muda wao madarakani kwa kutoa mfano juu ya demokrasia na utawala bora, imeshindwa kumpata mshindi wa tuzo hiyo ya dola milioni 5 kwa mwaka huu wa 2009. Mmoja kati ya wajumbe wa jopo la waamuzi ni  Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Dr Salim Ahmed Salim. Mohamed AbdulRahman alizungumza naye kwa simu kutoka London na kwanza alimuuliza sababu za  taasisi hiyo kushindwa kumpata mshindi mwaka huu .

Mtayarishaji: Mohammed Abdulrahman

Mhariri: Josephat Charo