1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya usalama ni tete

Mohammed Khelef10 Desemba 2015

Mahakama Kuu ya Zanzibar imewaita tena viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ambao wanakabiliwa na kesi ya ugaidi katika mahakama za Tanzania Bara kusikiliza rufaa ya dhamana yao kwa kesi nyengine.

https://p.dw.com/p/1HL7a
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu wakiwa kwenye mikutano yao visiwani Zanzibar.
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu wakiwa kwenye mikutano yao visiwani Zanzibar.Picha: DW

Mwandishi wetu aliye visiwani Zanzibar anasema vikosi vya ulinzi na usalama vimezingira maeneo yote ya Mahakama Kuu ya Vuga na hakuna aliyeruhusiwa kuingia ndani kusikiliza kinachoendelea. Kwa mengi zaidi sikiliza matangazo yetu ya mchana.

Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman