1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uamuzi wa ICC dhidi ya Lubanga una maana gani?

15 Machi 2012

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) mjini The Hague, leo (15.03.2012) inatarajiwa kutangaza adhabu itakayotoa dhidi ya kiongozi wa zamani wa kundi la waasi huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Thomas Lubanga.

https://p.dw.com/p/14Ksb
Thomas Lubanga (nyuma katikati).
Thomas Lubanga (nyuma katikati)Picha: Reuters

Lubanga alipatikana na hatia jana ya kuhusika na uhalifu wa kivita, kwa kuwasajili watoto na kuwatumia katika mapigano. Wakati adhabu hiyo ikisubiriwa leo, afisa wa Shirika la Haki za Binaadamu la Human Rights Watch, Ben Rowlence, anazungumzia maana ya uamuzi huo kwa haki za binaadamu Afrika na duniani kwa ujumla. Kusikiliza mahojiano kati ya Pendo Paul na Rawlence, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mahojiano: Pendo Paul/Ben Rawlence
Mhariri: Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman