1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uandikishwaji wa upigaji Kura visiwani Zanzibar

7 Julai 2009

Zoezi la kuwaandikisha wapiga kura wepya katika sajala la kudumu la wapiga kura limeanza huko Zanzibar kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa hapo mwakani.

https://p.dw.com/p/Ij11
Mji Mkongwe wa ZanzibarPicha: Stefan Pommerenke

Chama cha upinzani cha CUF kimelalamika kwamba kuna watu huko Kisiwani Pemba wananyimwa nafasi ya kujiandikisha, lakini maafisa wanaosimamia zoezi hilo wanasema hao walionyimwa nafasi hiyo hawajatimiza masharti yaliowekwa na sheria.

Othman Mirají alizungumza na mwandishi wa habari, Munir Zakaria, aliyoko sasa huko Konde, Pemba, ili anipe maelezo zaidi...