1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi visiwani Komoro

11 Juni 2007

Uchaguzi wa duru ya mwanzo ya marais wa visiwa vya Komoro umemalizika huko visiwani Ngazija na Moheli, wakati huko Kisiwani Nzuani tume ya uchaguzi ya taifa iliuahirisha uchaguzi huo.

https://p.dw.com/p/CHCr

Lakini, kwa mujibu wa taarifa kutoka huko Nzuani, uchaguzi huo umefanyika na mgombea pekee aliyekataa wito wa tume ya uchaguzi,rais wa zamani wa kisiwa hicho, Mohammed Bakari amejitangaza kuwa mshindi.

Zaidi anatuletea mwandishi wetu Abdulrahman Baramia kutoka Moroni.