1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa bunge Burundi wakamilika

Josephat Nyiro Charo23 Julai 2010

Idadi ya Warundi waliojitokeza ni ndogo ikilinganishwa na uchaguzi wa serikali za mitaa na ule wa rais

https://p.dw.com/p/OTQv
Upigaji kura ukiendelea mjini BujumburaPicha: AP

Vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa Bunge nchini Burundi vinatarajiwa kufungwa muda mfupi kuanzia sasa. Uchaguzi huo wa leo umesusiwa na vyama vikuu vya upinzani kikiwemo kile cha waasi wa zamani FNL. Zaidi kuhusu yaliojiri pamoja na uchaguzi huo anaripoti mwandishi wetu Hamida Issa Kutoka Bujumbura.

Mtayarishaji:Hamida Issa

Mpitiaji: Josephat Charo