1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchaguzi wa bunge Urusi

2 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBTM

MOSCOW:

Warusi watakwenda kupiga kura kulichagua Bunge jipya hapo desemba 2.Shirika la habari la Russia INTERFAX limeripoti kwamba ,rais Wladmir Putin ametia saini kanuni ya kuweka tarehe hiyo ya uchaguzi.

Kwa mara ya kwanza , ni vyama vya kisiasa tu vitakavyoruhusiwa kushiriki na si watetezi wanaojitegemea.

Kuweka huko kwa vikwazo katika sheria ya uchaguzi kumekosolewa.Vyama vitabidi kukiuka kiwango cha 7% kwanza ndipo viweze kuingia Bungeni