Ufahamu Jumla – Kipindi 8 – Matairi ya Gari11.11.201011 Novemba 2010Hapa tutajibu maswali ambayo kwa kweli hakuna anayeuliza, kwa sababu kila mtu anafikiri anajua majibu.Hivi ni kwanini matairi ya gari ni meusi? Hilo ndiyo swali letu katika kipindi cha leo.https://p.dw.com/p/Q2dzMatangazo