1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufahamu mfereji mkuu wa Papenburg

8 Juni 2023

Vipi kama mtaani kwako kungekuwa na sehemu yenye Intaneti ya bure? Si ungekesha kabisa? Basi mji wa Papenburg nchini Ujerumani, una eneo kubwa la umma lenye Intaneti bila malipo. Eneo hilo ni maarufu kwa sababu ya mfereji mrefu ambako pia inapatikana mashua iliyogeuzwa makumbusho. Rashid Chilumba alikuwa huko kujionea mambo hayo. Unadhani maeneo gani yanafaa kuwa na Intaneti ya bure hapo ulipo?

https://p.dw.com/p/4S285