1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufaransa, Uturuki na kadhia ya Waarmenia

Abdu Mtullya28 Desemba 2011

Uturuki na Ufaransa zimeingia kwenye mvutano mpya wa kihistoria, baada ya Bunge la Ufaransa kupitisha sheria inayotambua kuwa ni uhalifu kuyakana mauaji yaliyofanywa na utawala wa Ottoman wa Uturuki dhidi ya Waarmenia.

https://p.dw.com/p/13aax
Mauaji ya halaiki dhidi ya Waarmenia.
Mauaji ya halaiki dhidi ya Waarmenia.Picha: AP

Abdu Mtullya anauangalia mgogoro mpya wa kihistoria kati ya mataifa mawili makubwa barani Ulaya, Uturuki na Ufaransa, kuhusiana na dhima ya utawala wa Kituruki wa Ottoman kwa mauaji ya halaiki dhidi ya jamii ya Waarmenia.

Makala: Ufaransa, Uturuki na kadhia ya Waarmenia
Mtayarishaji: Abdu Mtullya
Mhariri: Othman Miraji