1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufaransa yakanusha kuhusika na mauaji ya Rwanda ya 1994

7 Agosti 2008

Baada ya wiki hii Kamisheni ya uchunguzi ya serikali ya Rwanda kutoa ripoti yake kuhusu mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 na kuwahusisha viongozi kadhaa wa utawala wa zamani wa Ufaransa kuhusika na mauaji hayo.

https://p.dw.com/p/EsOs
Wahanga wa mauaji ya Kimbari 1994Picha: AP

Rwanda kwa mara ya kwanza imesema inaweka uwezekano wa kuwafuatilizia kisheria waliotajwa katika ripoti hiyo.Ili kupata mwangaza zaidi juu ya suala hili kutoka mjini Paris, Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa za Ufaransa kuelekea Afrika Salim Himid na kwanza alimuuliza je tuhuma za Rwanda zimepewa uzito gani nchini humo.