1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufugaji wa kisasa nchini Ghana

27 Juni 2016

Zaidi ya watu milioni 1.5 hawana ajira nchini Ghana. Kijana wa umri wa miaka 27 David Asare Asiamah anakabiliana hali hiyo baada ya kumaliza Shahada yake ya Uzamili, katika Chuo Kikuu cha Reading, Uingereza.

https://p.dw.com/p/1JEa3