1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufugaji wa majongoo wa baharini Zanzibar

20 Aprili 2017

Licha ya Zanzibar kuwa ni visiwa vyenye samaki wengi wa aina mbali mbali, si wengi waliokuwa wakijuwa majongoo wa baharini hadi utandawazi uliposaidia kuonesha faida zake kiuchumi na kiafya. Katika video hii iliyotayarishwa na Salma Said, tunaangazia ufugaji wa majongoo ya Pwani faida zake namna ya utengenezaji wake hadi kukamilika kwa matumizi na kuingizwa sokoni.

https://p.dw.com/p/2bakE