1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Mabinti waliobeba mimba wapewa nafasi mpya ya elimu

Daniel Gakuba
19 Aprili 2018

Shule moja nchini Uganda imeongoza njia kwa kuwapa fursa mpya wasichana wa shule waliojifungua. Wasichana hao wanakwenda darasani na wanafunzi wengine, huku shule ikiajiri yaya wa kuwashughulikia watoto wao. Ni ripoti iliyoandaliwa na mwandishi wetu wa Kampala, Lubega Emmanuel.

https://p.dw.com/p/2wM2M