1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Mabinti waliopata mimba wapewa fursa mpya ya kusoma

Daniel Gakuba
19 Aprili 2018

Shule moja Kaskazini mwa Uganda imeamua kuwapa fursa wasichana waliobeba mimba wakiwa shuleni, kurudi tena shuleni na kusoma kama kawaida na wanafunzi wenzao. Hatua hii imewarejeshea matumaini mabinti hao, ambao vinginevyo, kubeba mimba kungekuwa kikomo cha safari yao kielimu. Mwandalizi ni mandishi wetu wa Kampala, Lubega Emmanuel.

https://p.dw.com/p/2wLhi