1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Waangalizi wa uchaguzi waanza kazi

Elizabeth Shoo12 Februari 2016

Waangalizi hao 50 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki wanaongozwa na kiongozi wa ujumbe, rais mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Rais Yoweri Museveni anapewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi.

https://p.dw.com/p/1HuIa
Mabango ya kampeni ya uchaguzi Uganda
Picha: Simone Schlindwein

[No title]