1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda watishia kuondoa wanajeshi wake wa kulinda amani

6 Novemba 2012

Uganda imeendeleza kitisho chake cha kutaka kuondoa wanajeshi wake wa kulinda amani katika shughuli mbalimbali za Umoja wa Mataifa ikiwemo Somalia.

https://p.dw.com/p/16dSC
Mwanajeshi wa Uganda nchini Somalia
Mwanajeshi wa Uganda nchini SomaliaPicha: SIMON MAINA/AFP/GettyImages

Hayo yamesemwa baada ya ripoti ya umoja huo kuituhumu Uganda kuwa  kinasaidia uasi huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Hivi sasa taifa hilo lina wanajeshi takribani 8,000  ikiwa ni pamoja na  huko  Somalia na katika jimbo la Darfur nchini Sudan. Kutoka kampala Sudi Mnette amezungumza na Msemaji wa Jeshi la Uganda, Kanali Felix Kulayigye na kwanza anaelezea kwanini wanatishia kujiondoa katika shughuli za  kimataifa za  kulinda amani?

(kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman