1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugomvi wa wazazi unavyowaumiza watoto

21 Desemba 2012

Si wazazi wengi wanaozingatia kwamba pindi wanapogombana, athari za ugomvi huo huwa moja kwa moja kwa watoto wao hata kama wazazi hao hawakuachana na wameendelea kuishi mke na mume kwa muda wote watoto wanapokuwa wadogo.

https://p.dw.com/p/177ZM
Mtoto kwenye majonzi.
Mtoto kwenye majonzi.Picha: MEHR

Mohammed Dahman analiangalia suala la ugomvi wa wazazi kwenye nyumba linavyomnyima mtoto haki yake ya kukuwa kama mtoto na linavyomfanya kupoteza uwezo wa kujiamini na utagamano mwema na watu.

Makala: Mbiu ya Mnyonge
Mtayarishaji: Mohammed Dahman
Mhariri: Mohammed Khelef