1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhamiaji – Kipindi 09 – Kurejea Mali

22 Machi 2011

Katika kipindi hiki tunakutana na raia wawili wa Mali waliotaka kuwa na maisha mapya Ulaya. Lakini walipogundua kuwa kila kinachong´ara si dhahabu, waliamua kurudi kwao – uamuzi ambao hawaujutii

https://p.dw.com/p/Qpnh